Loading home…
KARIBU kusikiliza EP yangu mpya ya 2026 inayoitwa THE KING OF DJ. Mkusanyiko wa beat 5 kali za Singeli zenye kasi, nguvu na vibe ya mtaani. Bass nzito na tempo ya juu itakufanya ucheze bila kujizuia. Kwa Ma-DJ, wasanii na mashabiki wa Singeli halisi. DJ MAKAMBO CLASSIC 🔥 Muziki ni maisha 💯 #SingeliBeat #DJMakamboClassic #Singeli2026 #BongoMusic #DJLife #BeatMaker #TanzaniaMusic